Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Unampangilio mzuri wewe ngoja nije pm uniaabarishe
 
Mambo mengine ni irrevant kabisa. Sijaona hapo ndoo za maji. Jiko, gunia la mkaa mafyekeo na vitu kibao
 
Nice, sehemu ya kulala iwe nadhifu nawe uwe nadhifu mpaka upstairs...
 
Mbongo hata awe na chumba kikubwa vipi lazima kitanda atakiweka kwenye kona!!!
 
Dah! Ninakuelewa sema sisi wa single room changamoto kidogo. Chumba utasema kimepigwa bomu. Hata hivyo, ni tabia zetu zinachangia. Hatujui kuweka makazi smart.

Asante kwa mada nzuri
 
Mje na topic ya kupangilia vyombo kabatini na mpangilio wa jikoni. Wanawake mnatutesa na tabia yenu ya kupenda vyombo vingi.
 
Kitanda kinawekwa katikati ili ukitaka kuamka kwenye kitanda iwe rahisi na sio kukibana kwenye ukuta ikiwa mke au mme akiamka hamna shida yyote na chumba kiwe simple na safi na sio makorokoro .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…