Afisa Mteule Drj 2
JF-Expert Member
- Mar 21, 2017
- 3,865
- 4,506
Watu wasiojulikana wakivamia utakuwa unakodoa tu macho huna hata pini ya kumshindilia nayo mtu kwenye kalio
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu vingine kwangu ni ziada tu [emoji23] [emoji23] [emoji23]Pamoja tuko woote mwakamele
Ata mm ndo kilev changuuu
Mkuu wewe ni mkurya nini?[emoji28] [emoji28] [emoji28]Vyote ivyo ila umesahau panga,kipisi cha nondo na pistol.
Hapana.Kwa wenye uwezo wao ndio watafanya hivyo ila sisi makapuku ni tabu kweli
Najifariji kwa kusema usingizi ni uleule ila tu sehemu ya kumbonji ni tofauti
Mkuu umenichekesha mbayaaVyote ivyo ila umesahau panga,kipisi cha nondo na pistol.
Hapo kwenye kiwe na Hali nzuri ndio nimekuelewa ila hizo zingine mbwembwe tu kunogesha usingiziHapana.
Chumba kikiwa katika hali nzuri hata usingizi pia utakuwa ni mzuri ila chumba kikiwa shaghala baghara basi usingizi utakaoupata utakuwa ni wa mang'amung'amu.
Na mshale [emoji38][emoji38][emoji38]Vyote ivyo ila umesahau panga,kipisi cha nondo na pistol.
Hamna chochote utakachosema kitanikatisha tamaa. Lazima nije.Nimewahi au ndo nnakoishi?
Watanzania 98% wanaishi storehayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Haha karibu pacha mimi wala sikukatishi tamaa nakupa tu picha halisi ya kwetu ujue kulivyo ili wakati wa kuja ujipangeHamna chochote utakachosema kitanikatisha tamaa. Lazima nije.
Vyote ivyo ila umesahau panga,kipisi cha nondo na pistol.
Pole sana mkuu ila ndiyo vitu tunavyoweka mavyumbani mwetuNimecheka kwa sauti hadi nimejistukia
Pole sana mkuu ila ndiyo vitu tunavyoweka mavyumbani mwetu
Pole sana mkuu ila ndiyo vitu tunavyoweka mavyumbani mwetu
Hahaa nikiangalia avatar yako inanipa ugumu kidogo kuamini kama unaweza hata kuua mendeNi kweli mkuu, mie mwenyewe chumbani kwangu ni panga na jambia.......
Hahaa nikiangalia avatar yako inanipa ugumu kidogo kuamini kama unaweza hata kuua mende