Saguda47
JF-Expert Member
- May 1, 2016
- 11,258
- 20,386
ahaaa!!! nishakuelewa mkuu, samahani sana kwa povu.Kusoma unajua lakini uelewi bila shaka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ahaaa!!! nishakuelewa mkuu, samahani sana kwa povu.Kusoma unajua lakini uelewi bila shaka.
Hatari sana mkuuNawe pia ni member wa Chama letu LA stoo tunakoishi
Kama unajua kusoma I bet una kichwa kigumu sanakwa akili yako unajua nyumba/vyumba vizuri viko daresalam pekee etiii?
Hahaa self contained eeh? Nimecheka kama mwehuHii ndio maana ya self contained
We jamaa....nimecheka aloneUmesahau box ya salama condomu mkuu! Kwa ajili ya warembo wanaokuja getto
Sent using Jamii Forums mobile app
Umenipendelea sana nimeishia la tano Bwewe std seven kausha bas
Mwambie huyohayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Hongera bwana shemeji
[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]Vyote ivyo ila umesahau panga,kipisi cha nondo na pistol.
Mkuu wakina nani wanaoingia bedroom kwako kishangaa rangi?,....bila shaka huwa hawatoki bilabila.Hii ndio rangi ya bedroom yangu...wengi wananishangaa kwa hii rangi!
![]()
Huyo atakuwa anaishi kibitiMkuu kwani chumba chako kiko mbugani au
Subutu! Ujue watu wanaojulikana lakini wakija wasiojulikana!mbushuu kwanza pole sana halafu huyu zomboko ni mkristo kwa hiyo panga lake na nondo ni YESU
Bila kusahau mfupa/mifupa wa nguruwe.. haha...Vyote ivyo ila umesahau panga,kipisi cha nondo na pistol.
Pamoja tuko woote mwakameleMimi geto kwangu nikiwa na Mziki ni zaidi ya hivyo vyote ulivyo vitaja! Hata kama nalala chini
Sent using Jamii Forums mobile app