Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Jinsi ya kupangalia chumba cha kulala kiwe na mvuto zaidi

Hizo picha zingekuwa ktk chumba kimoja ningeelewa ushauri wako but for now THANKS FOR YOUR ADVICE
 
hayo mambo ni huko kwenu upanga sijui mbezi beach. Sisi kwetu tandale chumba kina ndoo, majaba ya kutosha, jiko la gesi na mkaa, mswaki na ndoo la kuogea, na bodaboda yangu nailaza ndani yani kwa ufupi chumba changu kina kila kitu.
Mwambie huyo
 
Hii ndio rangi ya bedroom yangu...wengi wananishangaa kwa hii rangi!

54c15e3a12cf2_-_rating-and-design-interiors-modern-transitional-bedroom-xln.jpg
Mkuu wakina nani wanaoingia bedroom kwako kishangaa rangi?,....bila shaka huwa hawatoki bilabila.
 
Back
Top Bottom