Jinsi ya kupata GPA kali, kuepuka supplementary na jinsi ya kutodisco chuoni.

for everything u do look what u're getting and not u're doing
 
Soma kwa bidii, hasa vitabu mbalimbali
 
mengi yameshasemwa...
naomba nitoe angalizo moja, usiotee sana kubakizwa chuoni (though hilo laweza kutokea) coz isipotokea unaweza kuwa frastrated kimtindo, we piga shule upate GPA nzuri.

N.B: Mtu akimaliza Bachelor akibakizwa chuoni anaanza kwa kuwa Tutorial Assistant na sio Assistant Lecturer
 
Rules of the Game;
1. Understand what you are for, and for Who.
2. Try to pull yourself even when you are feeling uncomfortable.
3. Concentrate on reading.
4. Focus on assgnments, quiz,.
5. Be confident on what you are doing, and believe in yourself.
6. Have a good relation with your college-mates.
7. Epuka anasa joh.
8. Mkumbuke Mwenyezi Mungu na mweke awe wa kwanza katika kila utakalolifanya, I hope utafanikiwa.
 
kaa BACK BENCH. Mara nyingi material yanayorushwa na lecturers wa ukweli huangukia vichwani mwa back benchers. And be confident.
 

hapo hata mm nime gain k2,shukrani God be b4 u.
 
thanks alot...mawazo mazuri!!!
 

kaka Mungu akubariki sana. Take 100 likes
 
hapa naouna usani kwa mbaaaaaaaaaali, but miruzi mingi.....................................



kwa hiyo signanture.

 
alafu epuuka sana kupoteza muda kwenye migomo, usikose kipindi hata kimoja arasani, kuwa mkimy kimya (acha kuropoka na kupenda umaarufu), soma sana recommended readings, fanya assignments kwa uaminifu, kuwa na muda mchache wa discussion, fanya group assignments kama individual. Hapa utakua unaelewa so hadi kipindi cha pepa haitahitaji kusoma saana.
 

fu epuuka sana kupoteza muda kwenye migomo, usikose kipindi hata kimoja arasani, kuwa mkimy kimya (acha kuropoka na kupenda umaarufu), soma sana recommended readings, fanya assignments kwa uaminifu, kuwa na muda mchache wa discussion, fanya group assignments kama individual. Hapa utakua unaelewa so hadi kipindi cha pepa haitahitaji kusoma saana.
 
Point of correction: Ukipata GPA nzuri na kubakizwa chuoni utaanza kama Tutorial Assistant and not Assistant Lecturer. Hiyo ni hatua yapili na nimpaka upate Masters Degree ndio uwe Assistant Lecturer. Harafu, kwa mshahara wa lecturer, usitegemee kuwa hata ukiipata hiyo nafasi ndio utakuwa mkombozi wa familia kubwa kiasi hicho. Sana sana utaishia kugombana na mke utakayemuoa. Labda umpate mbumbumbu wa kijijini kwenu na uhakikishe haumpeleki mjini. Awe anaishi huko huko na wewe uwe unamtembelea tu kwani pesa ya familia siyo yako na ndugu zako 30 bali ni pesa yako, mke wako na watoto mtakaowazaa. Ndugu zako hawana haki kubwa kiasi cha wewe kujifanya mkombozi wao tena kwa kipato kidogo kama cha lecturer. Utakapowapatia ni msaada tu na msaada usizifi uwezo. Kwa taarifa yako, mshahara wa tutorial assistant katika vyuo vyote Tanzania hauzidi take home ya 1.2m na sehemu nyingine nyingi ni chini zaidi ya hapo. Kwa kipato kama hicho, Dar utaishia kuishia kupanga vyumba viwili au vitatu na siyo nyumba nzima kwani ni pesa ndogo sana. Sahau kuhusu kununua gari mpake upewe mkopo, tena ukijifanya mkombozi wa famila kubwa kama hiyo ndio sahau kabisa kwani watakujazia watoto wao kwako mpaka budget ya kula tu kwasiku ifike 30,000, kiasi ambacho ni zaidi ya uwezo wako.

Usione ninatoka nje ya ushauri ulioomba kwani ukienda chuo ukiwa na mawazo ya kuikomboa familia kubwa kiasi hicho ni hakika hautafanikiwa na sana sana utaishia kuiba tu kwani hakuna mfanyakazi anayeweza kuikomboa familia kubwa namna hii. Wasiwasi wangu ni kuwa utaishia kuwa-frustrated kwani kila kazi utakayopata haitakidhi mahitaji yako kifedha na ukitaka kuoa mke utakayelingana naye kiuwezo na kielimu basi ataishia kulogwa na watu wa kwenu kwani watamuona mtoto wa watu, mwenye mawazo ya kileo ni kama ndio kiwazo kwa wao kupata masaada kwa ndugu yao aliyesoma ambaye naye kimsingi ni masikini.

Otherwise, allow me to remind you that hard work is the only sure path to self advancement. There is no substitute to hard work. Know your lecturers and school how they want you to respond to their questions. Avoid ill companies and do what the institution wants you to do. Make sure you do not do what your mind tells you to do. In everything, remember that you are coming from a poor background and that your decisions and actions today are a stepping stone for your kids tomorrow. It is either you spoil their future just like the way your father did to you or you build theirs so they live a life that is different from what you lived in your childhood days. I hope this helps.
 

nimepewa ushauri mwingi na karibu wote ni kweli na mzuri lakini huu umekuja na kitu cha tofauti kweli familia yetu ni kubwa sana hata kuna wakati nafikilia mawazo uliyoyatoa kama kweli ntafikia ukombozi huu ila naomba kupewa ushauri zaidi kwani hata nikikaa kivyangu vyangu sitakuwa na na amani.
 
GPA ni kama fedha - ni ngumu kuipata lakini ni rahisi kuporomoka. Maana yake kama walivyosema wachangiaji persistence and endurance vinahitajiwa toka siku ya kwanza hadi ya mwisho, ceteris paribus. Chunga sana vipindi vyenye credit hours nyingi - ukivizembea GPA nzuri utaisikia redioni. Haina maana kuwa yale ya credit hours kidogo upuuzie - la hasha. credit hours ni kama mlima vile - the steeper the more energy required
 
NA ILI UWE TUTORIAL ASSISTANT NI LAZIMA UWE NA GPA YA KUANZIA NGAPI ,MANAKE KUNA VYUO VYOTE VYA UMMA(SUA,MUCCoBS,UDSM,UDOM) WANASEMA MPAKA UPATE KUANZIA UPPERSECOND CLASS YA KUANZIA 3.8 ,TUFAHAMISHENI ILI TUJUE VIZURI
 
Na jee vipi hivi vyuo kama tumaini ambvyo wanagawa ma gpa makubwaaaa mpaka 4.8 halafu huyo mtu aliyepata hiyo gpa ya 4.8 yaani ni kilaza anaweza kubakizwa hapo tumaini?
 
udom sahau hiyo mambo.....we subiri makarai yako tuu
 

good helpful
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…