Jinsi ya kupata GPA kali, kuepuka supplementary na jinsi ya kutodisco chuoni.

Jinsi ya kupata GPA kali, kuepuka supplementary na jinsi ya kutodisco chuoni.

Bro kwanza hongera kwa kutambua umuhimu wa elimu alihal familia yako kuwa na msingi mbaya wa elimu,kaka pili ni kwamba degree moja hauwez kuwa asst.lecturer coz huyu lzm awe na masters, bt degree ni tutorial,tatu hili upige gpa safi
1,zingatia vipind vyote
2,piga qnz zote
3,soma kwa kuelewa cyo kukariri
4,achana na maEVA/HAWA
5,control boom isikuchanganye
6,mwombe Mungu
7,jenga mazingira rafik kwa wanachuo wenzako.

thanx much av gain some thng
 
Hongera mkuu, km unataka kuwa lecturer lazima msako wa masters ufanyike, najua huwezi kuwa limbukeni wa loan kwa ujumla coz size ya members wa familia yako, hali ya maisha ya home na maamuzi yako ya mwisho yamekufanya uwe hapo, take care coz kazi ipo. Mungu akupiganie"
 
Back
Top Bottom