Bro kwanza hongera kwa kutambua umuhimu wa elimu alihal familia yako kuwa na msingi mbaya wa elimu,kaka pili ni kwamba degree moja hauwez kuwa asst.lecturer coz huyu lzm awe na masters, bt degree ni tutorial,tatu hili upige gpa safi
1,zingatia vipind vyote
2,piga qnz zote
3,soma kwa kuelewa cyo kukariri
4,achana na maEVA/HAWA
5,control boom isikuchanganye
6,mwombe Mungu
7,jenga mazingira rafik kwa wanachuo wenzako.