Jinsi ya kupata leseni ya biashara

Jinsi ya kupata leseni ya biashara

Heri ya xmass wadau wa JF..naomba kama kuna mtu yoyote anajua jinsi ya kupata leseni ya biashara anipe maelekezo naanzia wapi. Asanteni.

Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
nenda halshauri husika utapewa form ujaze! ina vipengele vitavyokupelekea kufika ofisi ya kata husika(ambapo unataka ufungue biashara) utasainiwa na kugongewa muhuri na mtendaji wa mtaa husika pamoja na afisa afya!! unatakiwa uambatanishe tin number pamoja pia na risiti ya property tax ya hilo jengo unalotaka kueka biashara yako! hapo itabidi ukamuone mwenye nyumba.
 
Back
Top Bottom