Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nipigie 0714064767 nikwambieHeri ya xmass wadau wa JF..naomba kama kuna mtu yoyote anajua jinsi ya kupata leseni ya biashara anipe maelekezo naanzia wapi. Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
Heri ya xmass wadau wa JF..naomba kama kuna mtu yoyote anajua jinsi ya kupata leseni ya biashara anipe maelekezo naanzia wapi. Asanteni.

acha usse**** si useme hapa kwa faida ya wote! sura kama kishoka!nipigie 0714064767 nikwambie
Heri ya xmass wadau wa JF..naomba kama kuna mtu yoyote anajua jinsi ya kupata leseni ya biashara anipe maelekezo naanzia wapi. Asanteni.
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
mkuu licence inategemea aina ya biashara kuna biashara nyingine zinahitaji mtu awe na leseni zaid ya moja nyingine ni moja tu.
licence kwa biashara ya kawaida inapatikana halmashauri husika, nenda ofisi za wilaya, utaambiwa leseni yako ni bei gani kulingana na ukubwa ya biashara yako, mfano duka la jumla au reja reja, au duka la electroniks n.k . Muhimu jihadhari na vishoka leseni inapatikana kwa bei nafuu tu, sema hujasema biashara gani ningekupa makadirio, mfano nina duka la kuuza computers and all related with computers nimeikata kwa elfu80 tu.
watakupa form (sh elfu1) utajaza, utatakiwa uambatanishe cheti cha uzaliwa(uthibitisho wa uraia), tin number, na mkataba wa pango kisha utakwenda kulipia benki, kiasi cha pesa cha leseni kulingana na biashara yako. ukishalipia utatakiwa utembelewe ofisini kwako japo hili huwa halifanyiki sana, baada ya hapo ni kupatiwa leseni yako haizidi siku3.
lakini kama biashara ni ya kuuza madawa ya binadamu/mifugo utatakiwa uwe na leseni ya hapo juu ya manispaa vilevile na leseni tfda.

kabla ya yote lazima uanzie ofisi ya TRA upate Namba ya mlipa kodi (TIN)ambayo hutolewa bure kisha ndio uende na copy yake huko halmashauri ukashughulikie leseni.

wadau mie ni mfugaji wa noah old modal,sasa wamefikia 50.nisaidien ni vip naweza kupata mkopo benk ili kuimarisha mrad huu lengo ni kufikia wanyama 1500.natanguliza shukrani zangu kwenu
kabla ya yote lazima uanzie ofisi ya TRA upate Namba ya mlipa kodi (TIN)ambayo hutolewa bure kisha ndio uende na copy yake huko halmashauri ukashughulikie leseni.
Tabata ipo wilaya ya ILALA , ofisi za manispaa ya wilaya ya Ilala sina hakika zipo wapi, sijui ni pale Ilala Boma au Mnazi mmoja. Ulizia zipo wapi hizo ofisi za manispaa ya Ilala. Ukifika waambie tu nimekuja kuchukua leseni ya biashara, utaelekezwa ofisi husika wanayotoa leseni, huko ndipo utaulizwa biashara gani na kiwango kutajiwa/kuonyeshwa, kisha utalipa eflu1 kwa form ya kujaza. Ukiwa fasta kujaza na ukalipia benki , leseni unaipata Kesho kutwa yake.Asante saaana nimeelewa..kwa mimi nina biashara ya nguo za kike na kiume nipo tabata..so ninaenda halmashauri ipi?
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
kama TIN unayotayari ni better watakwambia uende hapohapo TRA Kwanza ukafanye tax clearance ambayo sasa itachajiwa kuendana na biashara na mapato ukishaclear tax ndo unaenda halmashauri unapewa kulipia kwendana na leseni, ukashalipia leseni basi unarudisha slip mambo yanakua murua.....TIN ninayo tayari
Sent from my BlackBerry 9790 using JamiiForums
TIN unaweza kupewa bure hata kama huna kampuni iliyosajiliwa?
Nimefurahi sana japo ni muda umepita .umetoa mchango wa maana sana.!