Hayo huwa mavitabu wanasoma wazungu .kuna muafrika anakosa marafiki?? Mm nilienda Minneapolis kwa mshikaji wangu aliuza madin akaita Wana kama wawili sasa nkakaa mwezi nkawa daily nakunywa baa moja mtaani asee wazungu walinikubali balaa nkawa naandaa ma house party mpaka majiran walikuwa hawajuani walijiania mm .Sisi tumekalia na mungu