Jinsi ya kupata mchumba vyuo kama CBE and IFM

Halafu wanafunzi kazi yao ni kusoma, acheni binti za watu wasome, na kama mahusiano wafanye na watu wa rika lao la uanafunzi, watu wazima na tulio uraiani tuache kuharibia maisha binti za watu jamani

Unajua mimi ni rika gani?
 
Hii ndio mbinu sahihi........Una pesa ?? Una pesa weewe dubu?? Una pesa nakuuliza wewe taahahira ??.......tatufa pesa bichwa wewe na mapenzi yatakufata yenyewe
 
Halafu unanuka jasho na viatu vina vumbi.... Ushauri wa bure, wahi Mwananyamala kwa wahaya.
Hapo ukute amevaa msuruali wa kitambaa mkubwa wa rangi ya ugoro shati jeupe lenye tai ya rangi ya bendera ya taifa na mguuni amevaa matravota marefu
 
Halafu wanafunzi kazi yao ni kusoma, acheni binti za watu wasome, na kama mahusiano wafanye na watu wa rika lao la uanafunzi, watu wazima na tulio uraiani tuache kuharibia maisha binti za watu jamani
Jamuhuri haijatukataza tusiwe na uhusiano nao Kama wale wadogo zao we ni Nani utukataze
 
Halafu wanafunzi kazi yao ni kusoma, acheni binti za watu wasome, na kama mahusiano wafanye na watu wa rika lao la uanafunzi, watu wazima na tulio uraiani tuache kuharibia maisha binti za watu jamani
Usitupangie
 
Una ndinga au unapekua kama kuku? Wale watoto wanapenda ndinga kali...wanapenda show off utafikiri wamezaliwa kiwanda cha Jeep
Usiwape thamani hio Sana wanachuo wengi njaa , tafuta boda boda wa chuo watakupa connection yeyeto uitakayo bila hata kutegemea.Boda boda wengi ndio madalali wa pisi zote kali mijini.
Wakati unawaza kuingia gharama malaki kumbe elf 20 tu kimasiala
 
Namba watakupa ila mizinga utakayopigwa utaifuta mwenyewe.
 
Popote penye baridi ukitaka kujisitiri tafuta bodaboda tu mpe specifications unataka blanket la aina gani utaletewa Wauza mablanketi wote Wana boda boda wao wanaowapeleka kununua mizigo.
Ukitaka taarifa yeyeto mjini mpe pesa bodaboda utapata
 
Usiwape thamani hio Sana wanachuo wengi njaa , tafuta boda boda wa chuo watakupa connection yeyeto uitakayo bila hata kutegemea.Boda boda wengi ndio madalali wa pisi zote kali mijini.
Wakati unawaza kuingia gharama malaki kumbe elf 20 tu kimasiala
Mimi sitafuti wanachuo mkuu
 
Back
Top Bottom