Jinsi ya kupata mtaji katika forex kwa begginer

Hii ni Forex mpya au ndio ile ile inayo liza watu kila sikuView attachment 2688993
Ile ile mnayodhani mtalala mna njaa muamke mmeshiba....subiri signo na investment zitokee uje useme umepigwa sijui utapeli....wekeza mda wako upate maarifa kichwani mwako mwenyewe ufanye mwnyw afu uone....sema kwa vile mnapenda vitu lonya lonya...hiii haikufai endelea kuuza machungwa utajenga gorofa kwa wiki tu
 
Huko mimi sipo!
 
Kuna kitu kizito kitatua kwa kichwa ya mutu.
 
Till when will you continue living kwenye hii fantasy???
I know some voices in your mind keep telling you kwamba someday you will hit it big in forex but i can assure you later you will realise that umepoteza muda na pesa kwa sabb there are are tons of other activities that can potentialy give you better returns on investment for your money and time. Wanaotengeneza pesa kwenye hizi investment ni banks kubwa kubwa na ma hedge funds!
You will come back here to attest nilichokwambia !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…