October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 5,012
- Thread starter
-
- #21
Asante kwa mchango wako mzee babaya kujibana ila kuna wakati niliwakopa wenzangu then nikachukua bodaboda mambo yakaenda poa nikawalipa ndani ya muda so niliendelea kutoka hapo
Kumbe inawezekanaNakubali, namjuwa jamaa kajenga 3 Bed Bungalow kwa mkopo, kaajiriwa, analipa mkopo wa shule tu na siyo wa nyumba, kauwa ndege 2 kwa mpigo, elimu na nyumba...
Kabisa kabisa, na unakunywa bia na nyama choma kwa kiasi..kupangilia tu...Kumbe inawezekana
Ongera ndugu mi la kwanza limeyumba kidogo ila tutaonana kwenye kilimo hiyo ndio focus yangu kuuHongera sana mkuu kwa kulijua hilo kwa maana ata mimi nikupitia mada za humu ndani nilitaman sana nitakapofanikiwa kupata mkopo nitauendeleza na kweli nmefanikiwa lakin mm nmewekeza kwenye kilimo na nmeamua kuanza tu na boom hii ya kwanza kwaiyo natarajia kuleta mrejesho baada ya mavuno ya kwanza na mrejesho wa jumla 2020
Ongera ndugu mi la kwanza limeyumba kidogo ila tutaonana kwenye kilimo hiyo ndio focus yangu kuu
Yena sana tu me kaka angu saiv kanunua kiwanja na anaweza kukijenga pamoja na kukumbwa na changamoto nyingi kikubwa ni nidham ya pesa tu kila kitu kinawezekanaKumbe inawezekana
Mimi nilijikusanya kwanzia mwaka wa pili mwishoni,nikawa silipi ada nayopewa home.Nikakusanya kama bumu 2 pamoja na ela ya field.
Kilichofata ni history....Nililala mbele.Nampaka sasa sijawai kujuta na siji kujuta until die.
Jitahidi kuandika vizuri mkuu..au uliruka madarasa?
Ulikuwa unapataje boom bila kulipa ada mkuu?Mimi nilijikusanya kwanzia mwaka wa pili mwishoni,nikawa silipi ada nayopewa home.Nikakusanya kama bumu 2 pamoja na ela ya field.
Kilichofata ni history....Nililala mbele.Nampaka sasa sijawai kujuta na siji kujuta until die.
hadi saiz unashingp mkuuNaamini wanajamvi wazima, nianze kwa kusema maisha ya sasaivi ni magumu bila kuthubutu na kujitoa kwakeli autoki kwenye haya maisha
Niende kwenye mada, mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili ninamshukuru mungu nina boom ila nikifikiria maisha baada ya chuo kwakweli ni kitendawili maana mtaani sirahisi ata kidogo ila nashukuru mungu kunipa ufahamu kabla sijamaliza chuo nimefuatiria sana mada za jf na nimesoma vitabu kadhaa nakujifunza kwamba ujasiriamali ni jambo muhimu sana tena sana ila mtaji imekuwa changamoto sasa mimi ninataka nipambane na changamoto hii kabla sijamaliza kwa njia hizi mbili
1)Ni kupitia kuwekeza pesa zangu kidogokidogo kwa kila boom kama laki mbili ili nikimaliza chuo niwe tiari na mtaji kama wa minimum 1,200,000 ambayo nitaanza hustle zangu nikiingia mtaani.
::changamoto ya hii njia inaitaji kujitoa maana ina mauvivu kuvumilia kipindi cha miaka miwili kubana pesa kwakeli ihsani za mungu zinaitajika katika njia hii lakini kitu nilichokipata kwenye njia hii ni kuweka fedha fixed account ambapo ata ukipata tamaa uwezi Pata pesa zako
2) njia ya pili ni yakuizingusha fedha kupitia biashara yoyote ile ambapo itakuwa inadharisha kidogokidogo mpaka kufikia kimaliza chuo unakuwa na mtaji mkubwa ambao utaweza kupita ata wanjia ya kwanza
::changamoto ya njia hii ni kupata asara kwasabu kwenye biashara kuna asara na faida kwaiyo unaweza usiupate uwo mtaji kabisa arafu kingine ni kuchanganya masomo na biashara ambapo unaweza kosa kimoja wapo
Tushirikishane yepi njia nzuri kati ya hizo na kama kuna njia nyingine tujulishane kama kuna makosa ya kuchanganya herufi tuvumiliane
NB: ukiona ngumu kutengeneza mtaji wako leo jua maisha ni magumu kuliko kutengeneza uwo mtaji (ugumu wa maisha unaboa sikidogo)
200,000 jamaahadi saiz unashingp mkuu
Sawa mkuu200,000 jamaa
Ujumbe nzuri sana brazaUkisikiliza maneno ya watu hutafanya kitu chochote cha kukuletea maendeleo. Watu wanalazimisha kukosoa hata maandishi wakati kaelewa ulichomaanisha.
Nataka kukutia moyo tu kwamba hilo wazo lako linawezekana kabisa ukiliweka katika matendo. Mimi ni mmoja ya watu ambao nilitumia njia kama hiyo nilipokua University. Japo nilichelewa kupata hilo wazo lakin niliweza kukusanya Sh 800k ndani ya mwaka mmoja (third year) kwa kusave sh 200k kwa kila boom.
Niliporudi mtaani nikatafuta maeneo mazuri mawili nikafungua vibanda vya chips na nyama choma.
Nimehitimu mwaka jana na tayari kwa kiasi flani kuna hatua kubwa sana naona nimepiga japo changamoto hazikosi.