Jinsi ya kupata mtaji kupitia boom la chuo

Jinsi ya kupata mtaji kupitia boom la chuo

October man

JF-Expert Member
Joined
Nov 23, 2017
Posts
3,635
Reaction score
5,012
Naamini wanajamvi wazima, nianze kwa kusema maisha ya sasaivi ni magumu bila kuthubutu na kujitoa kwakeli autoki kwenye haya maisha

Niende kwenye mada, mimi ni mwanachuo wa mwaka wa pili ninamshukuru mungu nina boom ila nikifikiria maisha baada ya chuo kwakweli ni kitendawili maana mtaani sirahisi ata kidogo ila nashukuru mungu kunipa ufahamu kabla sijamaliza chuo nimefuatiria sana mada za jf na nimesoma vitabu kadhaa nakujifunza kwamba ujasiriamali ni jambo muhimu sana tena sana ila mtaji imekuwa changamoto sasa mimi ninataka nipambane na changamoto hii kabla sijamaliza kwa njia hizi mbili

1) Ni kupitia kuwekeza pesa zangu kidogokidogo kwa kila boom kama laki mbili ili nikimaliza chuo niwe tiari na mtaji kama wa minimum 1,200,000 ambayo nitaanza hustle zangu nikiingia mtaani.

changamoto ya hii njia inaitaji kujitoa maana ina mauvivu kuvumilia kipindi cha miaka miwili kubana pesa kwakeli ihsani za mungu zinaitajika katika njia hii lakini kitu nilichokipata kwenye njia hii ni kuweka fedha fixed account ambapo ata ukipata tamaa uwezi Pata pesa zako

2) Njia ya pili ni yakuizingusha fedha kupitia biashara yoyote ile ambapo itakuwa inadharisha kidogokidogo mpaka kufikia kimaliza chuo unakuwa na mtaji mkubwa ambao utaweza kupita ata wanjia ya kwanza

changamoto ya njia hii ni kupata asara kwasabu kwenye biashara kuna asara na faida kwaiyo unaweza usiupate uwo mtaji kabisa arafu kingine ni kuchanganya masomo na biashara ambapo unaweza kosa kimoja wapo

Tushirikishane yepi njia nzuri kati ya hizo na kama kuna njia nyingine tujulishane kama kuna makosa ya kuchanganya herufi tuvumiliane

NB: ukiona ngumu kutengeneza mtaji wako leo jua maisha ni magumu kuliko kutengeneza uwo mtaji (ugumu wa maisha unaboa si kidogo)
 
Ngoja nikae mbele nikutizame usivyostahili kupata hata 0% za HESLB,kumbe mfanyabiashara tu.
 
Eti asara?? MTU unasoma chuo kikuu unaandika hivyo!
Majungu haya na ni utahira wa hali ya juu unaposema kakosea umeelewaje makosa yake?
Na pale mnaposema Boom wanafanyia biashara kwan wamepewa bure wakat wakianza kurudusha mtawasaidia kurudisha acheni majungu MAKU nyie
 
Ngoja nikae mbele nikutizame usivyostahili kupata hata 0% za HESLB,kumbe mfanyabiashara tu.
Ulitaka akulipe akule kiboga au amle b mkubwa wako
Acheni majungu ***** kwan pesa ya boom inakuhusu akiamua kujibana afanyie vitu vya msing mnamind akitumia kula mnakind mnataka awape matumiz apambaneni na hali zenu nyooko wote mbn watanzania tuna akil mgando ivo na za kimasikin kaz kukalia majungu
 
Good idea if you can kwasababu tupo tuliofanya hivyo na ikawezekana ila kama unakaa home ndo rahisi zaidi
 
Njia rahisi ambayo itakufaa, (mimi pia naitumia mpaka sasa) ni kutafuta wenzako wa tatu na wewe jumla wanne mnaanza kuchangiana kiasi kadhaa kwa kila boom, sisi hufanya laki 2 na 50, 2500,000× 8 ?? Una booms 8 kuanzia hii, kwahiyo kwa haraka haraka hapo una milioni 2 mpaka una maliza mwaka wa 3. Nime include na bumu hili.

Pia hakikisha ikifika zamu yako na wewe unajichangia kama kawaida.
 
Ngoja nikae mbele nikutizame usivyostahili kupata hata 0% za HESLB,kumbe mfanyabiashara tu.
Mkuu nikimaliza chuo nikakuomba ajira utanipa, wacha ajira nikikuomba mtaji utanipa kuwa mtu mzima basi unaboa
 
Majungu haya na ni utahira wa hali ya juu unaposema kakosea umeelewaje makosa yake?
Na pale mnaposema Boom wanafanyia biashara kwan wamepewa bure wakat wakianza kurudusha mtawasaidia kurudisha acheni majungu MAKU nyie
Safi mkuu tupo pamoja
 
Njia rahisi ambayo itakufaa, (mimi pia naitumia mpaka sasa) ni kutafuta wenzako wa tatu na wewe jumla wanne mnaanza kuchangiana kiasi kadhaa kwa kila boom, sisi hufanya laki 2 na 50, 2500,000× 8 ?? Una booms 8 kuanzia hii, kwahiyo kwa haraka haraka hapo una milioni 2 mpaka una maliza mwaka wa 3. Nime include na bumu hili.

Pia hakikisha ikifika zamu yako na wewe unajichangia kama kawaida.
Safi ni njia nzuri sana
 
Kuna njia kadhaa za kuweza kutengeneza mtaji kupitia Boom, hapa nitaweka njia mojawapo....

KUKOPESHA wanafunzi wenzako.
(Mara nyingi sana baadhi ya wanachuo huwa na matumizi makubwa ya pesa kiasi cha kumaliza boom kabla ya awamu nyingine ya kupokea boom. Sasa kipindi ambacho wameishiwa unaweza ukawakopesha kwa Faida kubwa.)
Umakini hapo unahitajika ikiwemo uwepo wa shahidi katika mapatano yenu.
 
Nakubali, namjuwa jamaa kajenga 3 Bed Bungalow kwa mkopo, kaajiriwa, analipa mkopo wa shule tu na siyo wa nyumba, kauwa ndege 2 kwa mpigo, elimu na nyumba...
 
Kuna njia kadhaa za kuweza kutengeneza mtaji kupitia Boom, hapa nitaweka njia mojawapo....

KUKOPESHA wanafunzi wenzako.
(Mara nyingi sana baadhi ya wanachuo huwa na matumizi makubwa ya pesa kiasi cha kumaliza boom kabla ya awamu nyingine ya kupokea boom. Sasa kipindi ambacho wameishiwa unaweza ukawakopesha kwa Faida kubwa.)
Umakini hapo unahitajika ikiwemo uwepo wa shahidi katika mapatano yenu.
Sawa mdau hii njia wengi wanaizungumzia hii nahisi inafaida kweli
 
Back
Top Bottom