Yani mimi kwa hzi biashara ninavyozijua. Trust me kwa mtu mwenye mwenye huo mtaji na anaetaka na kudhamiria kweli kutoka kimaisha.....aisee fanya ununue bale la mitumba ya kike “ grade A” kaa sehem uza. Ukiwa serious after a year lazima utatoka tu.
Hyo biashara itamsaidia kijana ku amplify his capital. Yani sioni sehem nyingine mtu anaweza wekeza hyo amount akatoka within a year or two. Kama atanunua boda boda sawa ila aendeshe mwenyewe...kama ataweza fungua mama/baba lishe sawa ila inabdi akomae golini mwanzo mwisho inalipa ila kuna challenge zake i.e. setup costs, wages and salaries et al.
Kwangu mimi kama ingelikua mm ningeuza mitumba ya kike grade A. I kno what im saying na ni mtizamo wangu mm.