Jinsi ya kupata mtoto mwenye jinsia ya kike

Dah we mwenyewe hapo ni dume lakini hupendi madume wenzio

Au ndo hupendi kuharibiwa fursa
 
Teh teh teh teh
 
Wa kiume kwanza wa kike baadae[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
kwa kishwahili chepesi Mtaalam anamaanisha ukikuta familia kuna watoto wa kike tupu ujue bi mkubwa wakati wa mambo yetu Mshua hajamkojoza VYEMA!!
 
Hiyo point namba 4 kapitie tena. Naona haipo sawa kwani Ovulation hutokea siku ya 13 ama ya 14 kwa wanawake wenye menstruation cycle ya siku 28.
 
Aya ya mwisho,hapo kwenye kupasha mapu.mbu,mi nafkiri angeyaweka kwenye oven kabisa ili kupata Big results now.
 
Hiyo point namba 4 kapitie tena. Naona haipo sawa kwani Ovulation hutokea siku ya 13 ama ya 14 kwa wanawake wenye menstruation cycle ya siku 28.
..Tatizo Lipo wapi hapo mkuu?!ur missing something nna Uhakika uliza swali lako ueleweke!!
 
kufanya ngono kabla ya 'PERIOD'??!! hiyo 'period' unamaanisha HEDHI? au unamaanisha 'OVULATION' ?

-Kaveli-
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…