Jinsi ya kupata mtoto wa kike

kilaboy

Senior Member
Joined
Dec 11, 2011
Posts
150
Reaction score
97
Wanajamvi habari za siku.
Naombeni msaada wa namna ya kupata mtoto wa kike kwa mwanamke mwenye mzunguko wa siku 28.
 
Humu kuna huo uzi utapata majibu .Ukitaka mtoto wa kike kwa huo mzunguko mvunje chaga kuanzia siku ya 11 hadi 12au 13 kama wote hamna tatizo la uzazi anza kuandaa nepi.
 
Mie pia nawish kupata bby gal! sasa si wanasema mbeg zinakaa 72hrs! je nikiduduana sik ya12 /13 si majanga mkuu?naonaga wenye wqatt wa kike wana raha jaman! mbn ngumu hvyo jaman!
 
Kula vizuri kwa wiki nzima,usiruhusu stress ziwasumbue wewe na mpenzi wako.halafu piga gemu siku ya kumi na moja tu thn kauka kwanza kwa wiki kadhaa.niambie nikuletee nep lini.toto la kike hilo
 
hahahahahah haya mamy!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…