Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tayari, rudi na usome post #2Ok nangoja mkuu
Shukrani mkuu na tutashukuru sana feedback....Ahsante mkuu nimeiona and nitaijaribu and nitakuja na feedback
Humu kuna huo uzi utapata majibu .Ukitaka mtoto wa kike kwa huo mzunguko mvunje chaga kuanzia siku ya 11 hadi 12au 13 kama wote hamna tatizo la uzazi anza kuandaa nepi.
Kula vizuri kwa wiki nzima,usiruhusu stress ziwasumbue wewe na mpenzi wako.halafu piga gemu siku ya kumi na moja tu thn kauka kwanza kwa wiki kadhaa.niambie nikuletee nep lini.toto la kike hiloMie pia nawish kupata bby gal! sasa si wanasema mbeg zinakaa 72hrs! je nikiduduana sik ya12 /13 si majanga mkuu?naonaga wenye wqatt wa kike wana raha jaman! mbn ngumu hvyo jaman!
Kula vizuri kwa wiki nzima,usiruhusu stress ziwasumbue wewe na mpenzi wako.halafu piga gemu siku ya kumi na moja tu thn kauka kwanza kwa wiki kadhaa.niambie nikuletee nep lini.toto la kike hilo