Venus Star
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 26,519
- 78,311
Za siku nyingi wana JF. Nimekuwa nikitafakari kwa muda sasa namna nitakavyo weza kufundisha somo hili tajwa. Leo nimeona niweze kutoa utangulizi wa mambo ya kiroho na kuweza kuzipata guvu zake. Watawala wengi duniani na makundi mbalimbali huzitumia nguvu za kiroho katika kujinufaisha kwenye ulimwengu wa mwili.
Ukiangalia kuna matukio mbalimbali hufanywa na jamii fulani fulani, na imezoeleka kama ni mambo ya kawaida tu. Mf: kuna jamii wanakuwa na sikukuu ya kuchinja, hao watu wanakuwa na siri kubwa inayowaunganisha wao na ulimwengu wa roho.
Leo nitaongelea Imani ya kuunganisha ulimwengu wa roho kupitia maagano ya damu
Kwa wale wanaofuatilia vitabu mbalimbali vya dini watagundua kuna uhusiano mkubwa sana wa damu na ulimwengu wa roho. Kuna habari ya Kaini kumuua ndugu yake Abel. Baada ya Abel kuuliwa Mungu alisema damu ya ndugu yake ina mlilia. Haya maneno yanaweza kuonekana ni madogo sana na mafupi lakini haya mambo yapo na ni hakika.
Kuna watu wanafanya matambiko ya damu ya kuua wanyama. Kabla ya kumuua mnyama huyo hufanya sala na maombi. Maombi na sala hizo hichukuliwa na yule mnyama katika ulimwengu wa roho. Baada ya mnyama huyo kuchinjwa damu yake itakuwa ikipiga kelele katika ulimwengu wa roho kuhusu jambo husika.
Damu inafanyika kuwa agano la kudumu kati ya ulimwengu wa roho na muhusika.
Suala la kuhusu damu ni suala la kiimani halina uhusiano wowote na sayansi. Ni hiari ya mtu kufanya hivyo.
Kuna jamii ipo imejimilkisha masuala ya kuchinja. Kwa kujua au kutokujua imekuwa utamaduni na huenda ikawa ni sheria.
Katika jamii hiyo wapo wanaojua kuwa damu inaongea lakini wengine wanachinja tu pasipo kujua siri hii. Wale wanaojua siri hii hutumia mwanya huo kupitisha masuala yao katika ulimwengu wa roho.
Huku jamii nyingine hubaki kula na kutafuna nyama pasipo kujua siri na maneno akiyonenewa mnyama huyo kabla ya kuchinjwa. Wengine hujinufaisha na nguvu za kiroho na kutumia uchawi ili kuwadhoofisha wengine wasiojua siri.
Sikuku za kuchinja
Waafrika tumeacha asili yetu, na wengi kuendekeza mapokeo ya kwamba damu ilishamwagika ya kutuosha na hakuna haja tena ya kuchinja. Secret societies na jamii zenye nguvu duniani mpaka sasa zinafanya hivyo.
Baba wa Imani ya Kikristo, Kiislam na Kiyahudi Ibrahim alikubaliwa kutokana na Imani yake juu ya sadaka ya kuchinja na kuteketeza mnyama.
Wafanyabiashara wakubwa katika jamii yetu, wamebaki kuwa ni walewale wenye uwezo wa kuchinja.
Kila mwaka jamii za kiarabu na ulaya zinafanya matambiko haya ya kuchinja na kuzigawa nyama zile kwa watu mbalimbali. Lengo kubwa katika matambiko haya ni kuweza kuikamata nchi katika masuala ya kiuchumi, huku wakazi wakibaki maskini wa kutupwa na vibarua wa miaka yote.
Ukoloni wa Kiroho
Baada ya utumwa kutumikishwa kinguvu nguvu, sasa hivi ukoloni na utumwa wa kiroho upo kwa nguvu kubwa. Jamii zimewekeza katika kutawala kwenye anga la kiroho. Kuwafanya watu wawe dependants, kutokuwa na uhuru wa kujiamulia, kupewa hofu ya kitu ambacho hakipo.
KARIBUNI