Jinsi ya kupata nguvu za kiroho

Ukichinja mnyama au ndege hutakiwi kisema kitu chochote au neno lolote ukisema utajikuta unashirikisha mavitu machafu ya kiroho kwenye kitoweo wewe chinja kimya kimya kula zako sahau.
 
Story imekua fupi mno nilidhani ingekua na maelezo ya kutosheleza kidogo
 
12 wala si kwa damu ya mbuzi na ndama, bali kwa damu yake mwenyewe aliingia mara moja tu katika Patakatifu, akiisha kupata ukombozi wa milele.
Waebrania 9:12

13 Kwa maana, ikiwa damu ya mbuzi na mafahali na majivu ya ndama ya ng'ombe waliyonyunyiziwa wenye uchafu hutakasa hata kuusafisha mwili;
Waebrania 9:13

14 basi si zaidi damu yake Kristo, ambaye kwamba kwa Roho wa milele alijitoa nafsi yake kwa Mungu kuwa sadaka isiyo na mawaa, itawasafisha dhamiri zenu na matendo mafu, mpate kumwabudu Mungu aliye hai?
Waebrania 9:14
 
Vizuri.
 
Ko unamaanisha nini sasa mkuu, tuchambue wenyewe au utatuchambulia?🤔🤔🤔
 
Nina wasiwasi kwani nyie wanawake huwa mnamchukuliaje huyo mwanaume aliye wabikiri??
Thatha weye wa ajabu kidogo!! ..unafanya kitu kwa wasiwasi???....tunawafikiri aje?? kabisaa? ...hiyo ni kazi yako!! kutujua sisi!! siyo sisi tena tukwambie siri zetu!!! halafu ututongoze kirahisi!! hiyo hakuna. hukupitia jando na unyago kwani??

wenzako usukumani walikuwa wanapiga mieleka na kufukuzana kwa sana km kuku!! sasa leo imepitwa hiyo na km vepe!! wewe fanya ivo uone moto utakavyo kunyeshea km mvua!...hutaamini macho yako!!

wenzako halisi waliozaliwa wanaume wa kweli!! wanajua fika mpaka ke wachawi. wezi, majambazi, wenye kismart, wenye kizazi bora na Bikra kwa kuwaangalia tu! na kunusa alama za nyayo zao !! sasa nakusaidia tu pa kuanzia nakushauri hivi!!

kila pale ke wanapo kanyaga inama pale chini!! nusa!! utakacho kisikia kitakupa picha kamili!!......lkn wasikuone!!.... wasije sema weye ni mchawi!! ....jiongeze kijana!!
 
Kweli wanawake hamueleweki aisee yaani. Licha ya kuja na anonymous name humu hapa sijaambulia chochote.
 
Aahh aahh umenichekesha,kumbe na wewe unajua hii
 
Damu pekee yenye thamani kuu ni Damu ya Mwanakondoo wa Mungu aitwaye Yesu Kristo(Mungu katika Uwanadamu). Hii inashinda damu zote nyengine. Inatufutia dhambi zetu zote tukiiamini na yaweza kutushindia vita dhidi ya adui shetani na vikaragosi wake wote, yaani wachawi, walozi, vinyankera, vibwengo nk.

Damu ya Yesu Kristo aka Mwanakondoo wa Mungu ujumlishe na Neno la Ushuhuda ndio silaha ya maangamizi kwa shetwani na himaya yake. Ujue tu jinsi ya kuvitumia na kumtumainia Mungu basi yatosha. Ufunuo wa Yohana 12:1
 
Oh!! Kuna watu bado wanatafuta spiritual connection.
 
Anza kujifunza Yoga and Meditation.. through that unaweza ku access the highest spiritual mystical power uliyo nayo..

Infact hyo power anayo kila mwanadamu,but they are domant due to ignorance tulizo nazo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…