Hazard CFC
JF-Expert Member
- Apr 7, 2015
- 16,627
- 38,689
Kazi si ndogo atii,.Kazi kweli kweli.
MavimaviHalafu ukiwa maarufu kuna mahela mnagaiwa au umaarufu mavimavi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka kwa sauti dada. Lol.Halafu ukiwa maarufu kuna mahela mnagaiwa au umaarufu mavimavi
Mavimavi
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimecheka kwa sauti dada. Lol.
Unakumbukaje passwords zote[emoji4][emoji4]
Password moja tu huwa kila siku nasahau
Shoga kuna watu wanapambana na umaarufu wa JF,.hahhaah id fekelo jina fekelo afu unataka umaarufu,.akujue nani???mfyuuuuuu watu tukishalog out tunayasahau yooooote,labda kidooogo kungekuwa na tuzo tena za kutambulika hata kiwilaya tuu,.Halafu ukiwa maarufu kuna mahela mnagaiwa au umaarufu mavimavi
Ndio ndio hata mimi mkuuMimi umaarufu wangu kwny nyumba za ibada
Itaje mkuuNilijaribu kuutafuta umaarufu kupitia id fulani lakini niliacha baada ya kushindwa na kuona hakuna manufaa yoyote. Huwa naitumia mara moja moja. Kuna vitu vingine ni kujisumbua bure tu.
Ugonjwa wa kutaka kuwa maarufu ni tatizo kubwa katika jamii.Baada ya kuwa maarufu , then what next ?
Shoga kuna watu wanapambana na umaarufu wa JF,.hahhaah id fekelo jina fekelo afu unataka umaarufu,.akujue nani???mfyuuuuuu watu tukishalog out tunayasahau yooooote,labda kidooogo kungekuwa na tuzo tena za kutambulika hata kiwilaya tuu,.
Kwa hyo jana umegoma kutoa mialiko?
hapo sasa..Baada ya kuwa maarufu , then what next ?
Mh! sio sana..watu humjuani watakupendaje sanaUkiwa na mada za ngono nyingi utapendwa mno.