Jinsi ya kupata umaarufu mapema JF

Jinsi ya kupata umaarufu mapema JF

Hahahah achana na tuzo hata tuhela tu kidogo yaan tukishalog out tunasahau kama kuna kitu kinaitwa jf
Wooiii wanazengo wanae kazi mbona,..kungekuwa na hela aki hadi mm ningetunga story mwe mbele ya "peso" hahahaa
 
Ugonjwa wa kutaka kuwa maarufu ni tatizo kubwa katika jamii.
Kwa utafiti wangu usio na maana ni hitaji la watu wengi hata humu. Na wengiwanasukumwa na narcissism.

Ndio maana watu wamewahi kulilia like.
Nyuzi za mtu maarufu sijui mtaalam haziishi kila kukisha.
Nimeona ni vizuri kutoa maoni watu wasaidiwe.
Maana hata hivyo siku hizi u maarufu mitandaoni ni pesa.

Binafsi sitaki wala sio maana imani yangu inasisitiza maarufu awe Yesu sio mwanadamu.
In summary wanatafuta kujiogezea SELF ESTEEM.

In psychology, the term self-esteem is used to describe a person's overall sense of self-worth or personal value. ... Self-esteem is often seen as a personality trait, which means that it tends to be stable and enduring.
 
Hilo ni tatizo la watu wengi (siyo wote) kutaka kutambulika sehemu yoyote aliyopo na yu radhi kufanya chochote ili afanikiwe hilo

Ila sidhani kama ina faida yoyote hasa humu labda huko pengine
 
daah aiseeeh navyopenda makiki na umaarufu nitakufa mapema.

nina ID zisizopungua 10. hii inacomment .. ya tatu inajibu ya tatu inalalamika inaipenda ID ya kwanza, ya nne nayo inakuja inamwaga likes..

ya tano haiachwi nyuma nayo inaipetpet ya kwanza. ambayo ndiyo hii ya Daby.

nilichokuja kugundua umaarufu unanitokea puani. kazini performance zero bundle naweka la 100000 kwa wiki.

niombeeni.
 
Naomba nisaidie niwe maarufu kama wewe!

Ili nianze kuwarushia ndege wangu mchelee mpaka hukooo pm kuwake motoo
Kaka kaka kakaaaaa. Nina umaarufu gani ndugu yako mieeee?.

Hebu huo mchele baki nao nikija nyumbani tutaupika na Dada tule mpaka tusaze kuliko kuurusha bure bure. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
daah aiseeeh navyopenda makiki na umaarufu nitakufa mapema.

nina ID zisizopungua 10. hii inacomment .. ya tatu inajibu ya tatu inalalamika inaipenda ID ya kwanza, ya nne nayo inakuja inamwaga likes..

ya tano haiachwi nyuma nayo inaipetpet ya kwanza. ambayo ndiyo hii ya Daby.

nilichokuja kugundua umaarufu unanitokea puani. kazini performance zero bundle naweka la 100000 kwa wiki.

niombeeni.
Kwa hiyo mkuu una id za jinsia ya ke
 
Kaka kaka kakaaaaa. Nina umaarufu gani ndugu yako mieeee?.

Hebu huo mchele baki nao nikija nyumbani tutaupika na Dada tule mpaka tusaze kuliko kuurusha bure bure. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Hahahaha,Dada naomba nisiongeze wala kupunguza neno,naomba niishie hapo ulipo ishia wewe!
 
Back
Top Bottom