Mgagaa na Upwa
JF-Expert Member
- Sep 30, 2013
- 13,481
- 28,116
Wachuchu watakua wanatiririka wenyewe huko pm [emoji2]Mmh. Kwani kuwa maarufu kuna faida gani?
Wooiii wanazengo wanae kazi mbona,..kungekuwa na hela aki hadi mm ningetunga story mwe mbele ya "peso" hahahaaHahahah achana na tuzo hata tuhela tu kidogo yaan tukishalog out tunasahau kama kuna kitu kinaitwa jf
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wooiii wanazengo wanae kazi mbona,..kungekuwa na hela aki hadi mm ningetunga story mwe mbele ya "peso" hahahaa
Kama Ni Me Unapata Mademu Kibao 😀Halafu ukiwa maarufu kuna mahela mnagaiwa au umaarufu mavimavi
In summary wanatafuta kujiogezea SELF ESTEEM.Ugonjwa wa kutaka kuwa maarufu ni tatizo kubwa katika jamii.
Kwa utafiti wangu usio na maana ni hitaji la watu wengi hata humu. Na wengiwanasukumwa na narcissism.
Ndio maana watu wamewahi kulilia like.
Nyuzi za mtu maarufu sijui mtaalam haziishi kila kukisha.
Nimeona ni vizuri kutoa maoni watu wasaidiwe.
Maana hata hivyo siku hizi u maarufu mitandaoni ni pesa.
Binafsi sitaki wala sio maana imani yangu inasisitiza maarufu awe Yesu sio mwanadamu.
HongereniKama Ni Me Unapata Mademu Kibao 😀
Hahaaaa.Wachuchu watakua wanatiririka wenyewe huko pm [emoji2]
PM kujaaaMmh. Kwani kuwa maarufu kuna faida gani?
Hahahahaha...ili iweje mkuu.Itaje mkuu
Sawa Mkuu, Ninyi Hamtaki Kupata Mabwana? [emoji125]Hongereni
Naomba nisaidie niwe maarufu kama wewe!Hahaaaa.
Hivyo ndege wanakuwa wanaingia wenyewe tunduni lol.
Duuh! Hivyo wanalazimisha kuwa maarufu ili tujazane huko PM.PM kujaaa
Kaka kaka kakaaaaa. Nina umaarufu gani ndugu yako mieeee?.Naomba nisaidie niwe maarufu kama wewe!
Ili nianze kuwarushia ndege wangu mchelee mpaka hukooo pm kuwake motoo
Kwa hiyo mkuu una id za jinsia ya kedaah aiseeeh navyopenda makiki na umaarufu nitakufa mapema.
nina ID zisizopungua 10. hii inacomment .. ya tatu inajibu ya tatu inalalamika inaipenda ID ya kwanza, ya nne nayo inakuja inamwaga likes..
ya tano haiachwi nyuma nayo inaipetpet ya kwanza. ambayo ndiyo hii ya Daby.
nilichokuja kugundua umaarufu unanitokea puani. kazini performance zero bundle naweka la 100000 kwa wiki.
niombeeni.
Hahahaha,Dada naomba nisiongeze wala kupunguza neno,naomba niishie hapo ulipo ishia wewe!Kaka kaka kakaaaaa. Nina umaarufu gani ndugu yako mieeee?.
Hebu huo mchele baki nao nikija nyumbani tutaupika na Dada tule mpaka tusaze kuliko kuurusha bure bure. [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
nyingi zitaimwagia likes hiyo ya Daby ngoja kidogo uone.Kwa hiyo mkuu una id za jinsia ya ke
Ewaaaaaaaaaaaa. Hayo ndio maneno Kaka.Hahahaha,Dada naomba nisiongeze wala kupunguza neno,naomba niishie hapo ulipo ishia wewe!