Jinsi ya kupata uongozi jela.

Jinsi ya kupata uongozi jela.

Af ww Mr The dragon unazingua chalii umesababisha watu wanadai mimi namiliki ID mbili.
 
Cha kwanza inabidi upate kifungo cha kutosha, kuanzia miaka 7+, pia uwe tayari kutembeza vichapo kila inapobidi, pia uwe na utayari wa kupokea vichapo vya wafungwa waliopinda. Habari kamili kwanza tafuta kifungo kifupi cha kama miezi 3 ili ukajifunze mazingira halisi na omba upelekwe magereza yenye changamoto kama kwa Dilunga (Boko), Maweni (Tanga), Butimba (Mwanza) Isanga (Dodoma) au Segerea Dsm
 
Hivi ile ya Boko wanafungwa watu wa makosa gani?
 
Zamani wavulana wa dar ambao walikuwa wanadandia meri na kutoroka wakirudi wanafikishwa kwa Dilunga au Mbutu Kigamboni, na vibaka waliohitaji kunyooshwa walifikishwa huko. Magereza hayo ya jijini Dar yalisifika kwa kupiga kijembe na kazi nyinginezo
 
Cha kwanza inabidi upate kifungo cha kutosha, kuanzia miaka 7+, pia uwe tayari kutembeza vichapo kila inapobidi, pia uwe na utayari wa kupokea vichapo vya wafungwa waliopinda. Habari kamili kwanza tafuta kifungo kifupi cha kama miezi 3 ili ukajifunze mazingira halisi na omba upelekwe magereza yenye changamoto kama kwa Dilunga (Boko), Maweni (Tanga), Butimba (Mwanza) Isanga (Dodoma) au Segerea Dsm
Vipi gereza la Ngwala huko Chunya,nasikia mfungwa anaweza toroka lakini akarudi mwenyewe tena mbio maana lipo mbugani.
 
Back
Top Bottom