Jinsi ya kupata views nyingi hapa JF

Dah... views ndiyo nini bana...... ukiweka asali na kinyesi wapi unadhani utapata views nyingi za nzi??πŸ™‚πŸ™‚πŸ˜Ž
 
wewe andaa uzi wa wasiojulikana na uwepo wao like nitakazo pata hapa nisawa zidisha mara milioni moja na nusu
 
Andaa uzi wenye kichwa cha Habari kama hichi
KWA MARA YA KWANZA SAA YA MKONONI KUVALIWA KIDEVUNI. baada ya hapo utanambia views ambazo utapata hapo
 
Sharti limenishangaza mno

Jr[emoji769]
 
Andika "sitasahau siku nimebakwa na wanaume sita wakatosheka, nikawauliza kama wanataka tena wakasema wameridhika"
Ila hizi thread za kujitungia ili mpate wachangiaji tumechoka nazo sasa, ndoroobo nyie
Hahaha jamani umenichekesha! Kwanza umempa msaada wa mawazo!
Watu hawapendi vitu serious nahisi maisha yamekaza sana kwhy wanataka utaniutani walau wapate ahueni ya akili![emoji3]

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…