Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
Wakuu embu niambieni nifanyeje ili nipate views kama 50k kwenye uzi mmoja ndani ya masaa 48?
Kuna taasisi moja isiyo ya kiserikali inataka nipeleke uzi niliowahi kuuandika humu jamvini, na kupata views nyingi kiasi hicho.
Inatakiwa niprint uzi huo na kuambatanisha kwenye documents zangu niwapelekee ili nipewe kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app