Mjina Mrefu
JF-Expert Member
- Dec 6, 2016
- 3,045
- 3,389
- Thread starter
- #21
HayaKwa akili yako sahau, hata ukilemba uzi namna gani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HayaKwa akili yako sahau, hata ukilemba uzi namna gani
munchamuja ni lisu tu ndiyo mtu atapata like nyingi?Weka heading kuubwa "TUNDU LISU KUHAMIA CCM,MKUTANO MKUBWA WA KUMTAMBULISHA WAANDALIWA"
Andaa uzi wenye kichwa cha Habari kama hichiWakuu embu niambieni nifanyeje ili nipate views kama 50k kwenye uzi mmoja ndani ya masaa 48?
Kuna taasisi moja isiyo ya kiserikali inataka nipeleke uzi niliowahi kuuandika humu jamvini, na kupata views nyingi kiasi hicho.
Inatakiwa niprint uzi huo na kuambatanisha kwenye documents zangu niwapelekee ili nipewe kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sharti limenishangaza mnoWakuu embu niambieni nifanyeje ili nipate views kama 50k kwenye uzi mmoja ndani ya masaa 48?
Kuna taasisi moja isiyo ya kiserikali inataka nipeleke uzi niliowahi kuuandika humu jamvini, na kupata views nyingi kiasi hicho.
Inatakiwa niprint uzi huo na kuambatanisha kwenye documents zangu niwapelekee ili nipewe kazi.
Sent using Jamii Forums mobile app
sharti kama la kigangaSharti limenishangaza mno
Jr[emoji769]
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]sharti kama la kiganga
Sharti limenishangaza mno
Jr[emoji769]
[emoji15] [emoji15] [emoji3] [emoji3] [emoji115]Sharti kama la kutaka kujiunga na jeshi la North Korea
Wewe kweli mwana mtoka pabaya!Akili za watoto bwana, sasa huoni kuwa tarehe itakuangusha? Any way, we andika :SIKU N ILIPOSUGULIWA WASHELI NA MSOMALI COCO BEACH
Hahaha jamani umenichekesha! Kwanza umempa msaada wa mawazo!Andika "sitasahau siku nimebakwa na wanaume sita wakatosheka, nikawauliza kama wanataka tena wakasema wameridhika"
Ila hizi thread za kujitungia ili mpate wachangiaji tumechoka nazo sasa, ndoroobo nyie
Siki hizi unalala sana ona hadi wanakuwahi siti yako!Nitakuwa wa mwisho kuamini UNACHOSEMA NI KWELI!!!!
Nzi wanapenda vitu vichafu?Dah... views ndiyo nini bana...... ukiweka asali na kinyesi wapi unadhani utapata views nyingi za nzi??🙂🙂😎
Mimi sitaufunguaAndaa uzi wenye kichwa cha Habari kama hichi
KWA MARA YA KWANZA SAA YA MKONONI KUVALIWA KIDEVUNI. baada ya hapo utanambia views ambazo utapata hapo
Wasema tu lazma upitepo😱