pakapori
JF-Expert Member
- Sep 13, 2015
- 536
- 626
Kichwa cha habari cha huu uzi tu..., mtu hawezi kupita akaacha kuuview
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yaan humu jamvin kama vile fbAndika kuhusu mapenzi au siasa na kuhusu chibu na kiba ndo utapata hizo likes humu.... Ukiandika vya maana sana sahau jf imechange..
Xmass Boy.
Dah,Andika tu kuwa dawa ya kupunguza maku na kubadili bamia kua hogo imebediscovered
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Akili za watoto bwana, sasa huoni kuwa tarehe itakuangusha? Any way, we andika :SIKU N ILIPOSUGULIWA WASHELI NA MSOMALI COCO BEACH
HahahahaaaHahahahaaa, wacha sizonje atunyoosheHahaha jamani umenichekesha! Kwanza umempa msaada wa mawazo!
Watu hawapendi vitu serious nahisi maisha yamekaza sana kwhy wanataka utaniutani walau wapate ahueni ya akili![emoji3]
Sent using Jamii Forums mobile app
Huu ni wa kupata ushauri namna ya kupata viewers wengiHuu uzi unalengo moja tu, ili apata viewers wengi!