Point of No Return 19
JF-Expert Member
- Jul 2, 2023
- 203
- 472
Lipia Ads insta, fb na whatsapp business huwa zinaboost sana matangazo ya biashara yako na kuwafikia wengi.
Post kwenye groups za buy and sell huko fb na telegram.
There is no free lunch azingatie hilo na awe smart na mwepesi kurespond kwa wateja.Mtoa mada zingatia huu ushauri….. na pia hela ya matangazo iwe kabisa Kwenye budget
Lipia Ads insta, fb na whatsapp business huwa zinaboost sana matangazo ya biashara yako na kuwafikia wengi.
Post kwenye groups za buy and sell huko fb na telegram.
Chukua hiyongoja nichukue nondo, nimejifunza kitu
yah ni kweli kabisa wengne tuna ideas kubwa sana biashara ambazo zitaleta ajira kaa vijana tz, zitatunza mazingira, ila sasa pakuanzia , maana ni wazo heavy kweli kweli, SISIEM watataka niwe nao benet ili nitoboe, aisee kuwa na kampuni au kiwanda hii nchi Ni ujipange.Chukua hiyo
Ujipange kweli kweli, ujizatitiy
yah ni kweli kabisa wengne tuna ideas kubwa sana biashara ambazo zitaleta ajira kaa vijana tz, zitatunza mazingira, ila sasa pakuanzia , maana ni wazo heavy kweli kweli, SISIEM watataka niwe nao benet ili nitoboe, aisee kuwa na kampuni au kiwanda hii nchi Ni ujipange.
SawaHabari, yeah unaweza ukaalipia kutangaza online ila inabidi niwe mkweli kwako, kama bidhaa unayoiuza ukiiweka barabarani hakuna mtu anatekuja kuulizia hata mtandaoni itakua hvyo hvyo...
Angalia kwanza bidhaa unayouza, bei, muonekano na wengine wanaouza wanafanyaje...baada ya hapo ukiona ni product inayopendwa na kutafutwa ndipo unafanya marketing mtandaoni
Mitandao gan unatumia kupromote bidhaa zako,unatumia jina gan tuone unavo push tupate cha kukushauli
Username
Nimejifunza kituLipia Ads insta, fb na whatsapp business huwa zinaboost sana matangazo ya biashara yako na kuwafikia wengi.
Post kwenye groups za buy and sell huko fb na telegram.
Apply mkuuNimejifunza kitu
Tatizo sina mtaji Ila Nina knowledge kuhus na naendelea kugain nikipata mtaji nitaanza kufanya practicallyApply mkuu
Kila la heri mkuuTatizo sina mtaji Ila Nina knowledge kuhus na naendelea kugain nikipata mtaji nitaanza kufanya practically