Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

Jinsi ya kupata wateja mtandaoni

Hellow ....

Wapendwa,
Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business......

Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya?

Mnatumia njia gani kupata wateja wa kilasiku.....mbona Mimi naweza kumaliza mwezi na sipati mteja

Na ninapost kila siku......

Nimegundua kuwa Hakuna mtu mpya anaona bidhaa zangu, wale wanaoona ni wa siku zote.

Nahitaji kutengeneza jina na kupata wateja wapya kwenye online business, kabla sijafungua office kamili

Nimeona niwekeze kwanza kwenye kuwatafuta wateja.

Nifanye Nini ili nipate wateja wapya kila siku?
Pitia thread yangu hii itakusaidai: Jinsi ya Kujenga Mashine ya Kunasa Wateja
 
Hellow ....

Wapendwa,
Najua kutafuta wateja siyo kazi rahisi hasa kwa mtu ambaye anafanya online business......

Mnatumia mbinu gani kupata wateja wapya?

Mnatumia njia gani kupata wateja wa kilasiku.....mbona Mimi naweza kumaliza mwezi na sipati mteja

Na ninapost kila siku......

Nimegundua kuwa Hakuna mtu mpya anaona bidhaa zangu, wale wanaoona ni wa siku zote.

Nahitaji kutengeneza jina na kupata wateja wapya kwenye online business, kabla sijafungua office kamili

Nimeona niwekeze kwanza kwenye kuwatafuta wateja.

Nifanye Nini ili nipate wateja wapya kila siku?
Ulisomea maswa ya mtandao maana naweza kukusaidia lakin nataka kujua ulipo fikia na malengo yako ni yapi kuhusu elimu sio kipaumbele kama unamalengo na uvumilivu tu
 
Back
Top Bottom