Tutor B
JF-Expert Member
- Jun 11, 2011
- 9,025
- 6,598
Kazi iliyopo kwetu ni kuendelea kuwaelimisha vijana wabadirike.Ni tatizo kubwa sana kwasasa, kwasababu unakuta anapoteza muda na pesa kubet wakati hiyo kama angewekeza kwenye biashara ndogo ingeweza kumuinua..