Jinsi Ya Kupata (win) Kazi on Upwork

Add Telegram bot in Telegram group, Telegram and Facebook moderator, Data Entry, English Swahili translation, Background remover, Web research, English Swahili, PDF to WORD convertion
Mr naomba hapa experience ya pdf to word convesion maana huku niki convert pdf to word nikija fungua kwenye ms word bado hiyo document inakuwa haiko katika hii form ya ms word inakuwa kama ka image flani juu ya hiyo converted doc ( pdf ). Au kwamaana nyingine nawezaje convert pdf to word, yani nipatr exactly word doc ambayo unaweza edit hapohapo
 
Aisee nashukuru Mkuu, ila kazi nilideliver fresh had sahz nachat naye ila nilikuwa sijamuongelesha kuhusu issue za review, ngoja nimtext sahv
Safi bro...binafsi ndio nimejiunga upwork naomba kujua umepiga kazi gani...napenda kujifunza zaidi.
 
Uzi wa maana sana huu, nimejoin Upwork recently, nitaapply hii theory hapa mkuu. Ila bado sijajua namna ya kupata malipo nikipata kazi. Maana Paypal bongo hakuna.
 
Habarii mkuu, ningeomba taarifa zaid kuhusu upwork
 
Uzi wa maana sana huu, nimejoin Upwork recently, nitaapply hii theory hapa mkuu. Ila bado sijajua namna ya kupata malipo nikipata kazi. Maana Paypal bongo hakuna.
Nikuuzie kitabu Cha UPWORK Mimi nilinunua 25000 utanipa 10000 kina maelekezo yote hayo kizuri kuwa nacho Kama unaamua kuwa serious huko
 
Habarii mkuu, ningeomba taarifa zaid kuhusu upwork
Nikuuzie kitabu Cha UPWORK Mimi nilinunua 25000 utanipa 10000 kina maelekezo yote hayo kizuri kuwa nacho Kama unaamua kuwa serious huko
 
Kuna uzi mmoja uliwekwa hapa majuzi niliuelewa, nikichanganya na huu naona somo la freelance huko UPWORK linakuwa zuri sana.
Nimeanza kutengeneza akaunti, na profile imefikia 90/%.
Naomba ushauri hapa:-

Nawezaje kuuza Taaluma ya Ufundi Umeme..?
Nitumie mbinu gani ili nipate kazi ya kwanza..?
 

Attachments

  • IMG_20221231_023113.jpg
    44.1 KB · Views: 27
  • IMG_20221231_022546.jpg
    37.2 KB · Views: 19
Sawa, ila naomba msaada hapa:
Kwenye fiverr nimefungua akaunti na kutengeneza profile.
Shida ni kwamba, nikitaka ku apply gig ya kwanza wanasema ni verify phone number, nikiweka namba tena kwa format nzuri , Tanzania , +255757...... haiji rangi ya blue kwenye send vial sms.
Naletewa ujumbe kuwa siwezi verify kutumia simu mpaka computer, na mimi sina computer ndugu na ndo naanza hivi.
Naomba ushauri wako..!

 
Tumia PC mkuu utafanikiwa kuverify phone number
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…