Jinsi ya kupika halfcake

Jinsi ya kupika halfcake

Furahatuu

Senior Member
Joined
Apr 11, 2013
Posts
115
Reaction score
40
nataka kujua jinsi ya kupika halfcke unga kg 1 baking powder ni kiasi gani?
 
Kwa unga kilo moja baking powder 2 teaspoon Furahatuu

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:

farkhina hebu niambie nifanyeje ziwe laini maana huwa nakanda unga unalainika kabisa kwa maziwa na siagi na hukaanga kwa moto wa kiasi lakini mwisho wa siku huwa ngumuu nami napenda ziwe laini kiasi..niweke nini cha ziada ziwe laini mpendwa..
 
Usijali nkipata muda ntaweka recipe nzuri tu ya halfcake mpenzi

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
da Farkhina tunaomba recipe ya halfcake. Maana umepromise tumesubiri weee
 
Mwenzangu mbona hii kesi na ahadi siku hizi soon ntaitwa muongo niko busy sana sorry inshaallah kesho ntakuwekea

Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
 
Mahitaji

Unga nusu

Maziwa/maji

Yai 1

Sukar vijiko 6 vya kulia

Baking powder 2 teaspoon

Zafaran (yellow food coliring)

Tangawizi ya unga 1 tablesppon

Vanilla powder 1 teaspoon au vanilla ya maji (arki)

Mdalasini 1/2 teaspoon

Hiliki 1/2 teaspoon

Mafuta kwa ajili ya kukaangia

Pinch of salt

Siagi 1 tablespoon

Namna ya kutaarisha

Changanya dry ingredients zote (unga,mdalasini,sukar,chumvi,hiliki,baking powder)

Vunja yai then weka katika dry ingredient....weka siagi changanya vizuri

Weka maziwa then changanya vizuri hadi utengeze donge moja

Kanda hadi iwe laini...subiria for 30 minutes

Katakata halfcakes kutokana na shape unayopenda...

Weka karai jikoni then kaanga hadi ziwive

Tayari kwa kuliwa

asante sana
 
farkhina huko wakizingua rudi bongo tasavali haitakula kwako celebis wote wa bongo watapanga foleni kwa itakayojulikana kama FARKHINA EXCUTIVE FLAVORS N TAKE AWAY
 
Hahahahahahh sawa tnx kwa ushauri.....

Back
Top Bottom