Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwa unga kilo moja baking powder 2 teaspoon Furahatuu
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
nataka kujua jinsi ya kupika halfcke unga kg 1 baking powder ni kiasi gani?
farkhina hebu niambie nifanyeje ziwe laini maana huwa nakanda unga unalainika kabisa kwa maziwa na siagi na hukaanga kwa moto wa kiasi lakini mwisho wa siku huwa ngumuu nami napenda ziwe laini kiasi..niweke nini cha ziada ziwe laini mpendwa..
da Farkhina tunaomba recipe ya halfcake. Maana umepromise tumesubiri weee
na bagia pia jamani loh
da Farkhina tunaomba recipe ya halfcake. Maana umepromise tumesubiri weee
na bagia pia jamani loh
Badia za kunde.. - Page 3
Badia za dengu na chatne... - Page 2
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mahitaji
Unga nusu
Maziwa/maji
Yai 1
Sukar vijiko 6 vya kulia
Baking powder 2 teaspoon
Zafaran (yellow food coliring)
Tangawizi ya unga 1 tablesppon
Vanilla powder 1 teaspoon au vanilla ya maji (arki)
Mdalasini 1/2 teaspoon
Hiliki 1/2 teaspoon
Mafuta kwa ajili ya kukaangia
Pinch of salt
Siagi 1 tablespoon
Namna ya kutaarisha
Changanya dry ingredients zote (unga,mdalasini,sukar,chumvi,hiliki,baking powder)
Vunja yai then weka katika dry ingredient....weka siagi changanya vizuri
Weka maziwa then changanya vizuri hadi utengeze donge moja
Kanda hadi iwe laini...subiria for 30 minutes
Katakata halfcakes kutokana na shape unayopenda...
Weka karai jikoni then kaanga hadi ziwive
Tayari kwa kuliwa

farkhina huko wakizingua rudi bongo tasavali haitakula kwako celebis wote wa bongo watapanga foleni kwa itakayojulikana kama FARKHINA EXCUTIVE FLAVORS N TAKE AWAY