Jinsi Ya Kupika Konokono Kama Chakula

Shukrani sana boss.
 
Konokono unamlaje sasa[emoji19], kuku,samaki,ng'ombe, mbuzi wameisha kwani??[emoji848][emoji848]
[emoji1541][emoji1541][emoji1541]

Hawa wadudu ni watamu sana niliwahi kuwala Bagamoyo maeneo ya kaole kama hapa dar kuna sehemu wanauzwa tupeane location 🐌
 
Dah yani unanitamanisha hadi mate yanajaa kweli unajua hii kitu nilikula bagamoyo ila hapa dar sijajua wapi wanawauza konokono mtamu sana
 
Duuh!! Umenikumbusha kule kwetu kuna kitu kinaitwa mirindi nacho huwa nahisi ni jamii ya hayo makono kono nilikula zamani sana wanachemsha na kuweka chumvi inakuwa sehemu ya kitoweo.

Kwa sasa siwezi kula abadan.

mrindi au wengine huita tondo ni tam uunge na nazime napendelea kuwamix kwenye kachumbari ya kiswahili au nipike zodo niwamiminie humo nitige tige embeliorojekee mirindiikiwemo ni tamna ugali
 
mrindi au wengine huita tondo ni tam uunge na nazime napendelea kuwamix kwenye kachumbari ya kiswahili au nipike zodo niwamiminie humo nitige tige embeliorojekee mirindiikiwemo ni tamna ugali
Duuh!! Kumbe ukiitia kwenye zodo inakuwa mitamu eee?

Mana mwenzio kila nkiifikiria. Lol. Mitupu ya kuchemsha na chumvi kwa sasa hata siiwezi.
 
sana mimi ya chumvi tu siwezu pia
Sasa sisi miaka hiyo tulikuwa tunachemshiwa ya chimvi tu ukitaka kula na ugali unachukua mmoja mmoja na kuanza kuifyurura (sijui kiswahili fasaha cha hili neno lol) yaani hakukuwa na muda wa kusema wakutolee yaani utavuta mwenyewe ndipo ule. . πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€
 
hiyo ingenishinda,kuna jiran yetu mpaka leomirindi ndiosamakiwake,halaf anawagonga yale matumbo yake anakula mimi naona kinyaa

kuwafyonza (kuyafurura) umeongea kitaanga hasa
 
hiyo ingenishinda,kuna jiran yetu mpaka leomirindi ndiosamakiwake,halaf anawagonga yale matumbo yake anakula mimi naona kinyaa

kuwafyonza (kuyafurura) umeongea kitaanga hasa
Daah!! Ila nionavyo wenzetu walioizowea wao kuila kwa hali yeyote wanaona sawa.

🀣🀣🀣
 
Nakutafuta mnoo Fanya kunipigia namba nimepoteza dog lako hapa
 
mrindi au wengine huita tondo ni tam uunge na nazime napendelea kuwamix kwenye kachumbari ya kiswahili au nipike zodo niwamiminie humo nitige tige embeliorojekee mirindiikiwemo ni tamna ugali
Nimewatazama Hawa Itakuwa Ni Jamii Hiyo Hiyo Ya Konokono.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…