Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
- Thread starter
- #21
Shukrani sana mkuu
Tafuta konokono hai, kisha watie chumvi. Waanike juani kama masaa mawili ili wanyauke!!
Baada ya hapo unaweza kuwatengeneza supu au kuwarost!! Kumbuka kuweka vitunguu vingi!!