Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.
Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Loh...si upike mwenyewe[emoji3][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] loh!
Miongoni mwa vyakula navyopenda ni kande...basi tu sijapata mtu wa kunipikia
Mmatemwe gani anayependa sembe tena na madagaa loh!! Ungesema mchuzi wa maji na pembe hapo sawaHahahaaa [emoji23][emoji23][emoji23]
Mie mmatemwe nimeshazoea sembe na dagaa tonge makande, Viazi na ndizi. Hapana