Jinsi ya kupika makande

Jinsi ya kupika makande

Hivi
Yamewaokoa wengi... Yamewakuza wengi... Sasa hivi una shibe usiyabeze right now kuna mtu anatafuta apate walau vijiko viwili vya hayo makande hapatichakula ni ibada usikibeze
Hivi wewe mshana ni mpare? Kuna Uzi niliuona 2014 mtu alisema wewe ni msambaa
 
Hahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii, tusitetee njaaa.....

lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
Hawa mababu zetu ndio maana walitawaliwa,
wenzako wanagundua vitu vya maana, kweli kweli ww unagundua kebich kua ni mboga? Huwezi kua na akili ukila lile dubwasha,
Dude kubwaa lakn ndan hamna kitu, hata sura yenyewe mbaya.
kuna binti moja alipita k/koo ya miaka hiyo akiwa amevaa kimini, kuna jamaa pembeni yangu nilisikia anasema huyo dada anauchi kama kabichi. Tokea siku hiyo niliacha kula hiyo mboga.
 
Hahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii, tusitetee njaaa.....

lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
Hawa mababu zetu ndio maana walitawaliwa,
wenzako wanagundua vitu vya maana, kweli kweli ww unagundua kebich kua ni mboga? Huwezi kua na akili ukila lile dubwasha,
Dude kubwaa lakn ndan hamna kitu, hata sura yenyewe mbaya.
Siipend hiyo mboga
 
Ila makande matam bhn, hasa yaweke Nazi, tangawz, hoho, karoti, mazw...loooh ataaa sichomokiiii [emoji39][emoji39][emoji39]
 
Kwangu Mimi Makande ndo chakula kibovu kuliko vyote, ni chakula ambacho skipend maishani mwangu na nakichukia Sana hata kukiona tuu, kuna mboga inaitwa kisamvu hyo ndo mboga mbovu Sana kwangu , huwa nahsi kama nakula kinyesi, mboga hyo huwa sitak hata kukiona ....
 
Hahaaaaa bora makandeeee
Kebichi ni funga kaziiii....
Half kuna watu wanasemaa
oooooh hujakutana na lililopikwa vizuriiiii, tusitetee njaaa.....

lile dude tunakula kuokoa roho tuuuu...
Hawa mababu zetu ndio maana walitawaliwa,
wenzako wanagundua vitu vya maana, kweli kweli ww unagundua kebich kua ni mboga? Huwezi kua na akili ukila lile dubwasha,
Dude kubwaa lakn ndan hamna kitu, hata sura yenyewe mbaya.
This made my day[emoji7]
 
kebich halijawah kua zurii, hata kwenye kachumbari tunazugaa tuuuu....

Sasa usiombee upige ugali na kebich tuuuu....
Alooo tonge linaenda km linarudi...
Yaani unahisi kbsa tonge linataka kurudi ila ww unasukumizaa tuu,
kwanza hata mate hayatokii nayo yanagomaaa.....

Mi nahisi hata Likifika tumboni hata minyoo wanalikaushia lipite
Lol,
 
Yaani hiki chakula tuseme tu jamani, tulio wengi tunakilia shida.

Halafu dada/mama zetu, hivi mkipika, ni lazima mpike mengi? Yaani tuyale mchana, tuyale jioni na kesho tuyanywee chai duuh
Watakua wapare ndo waligundua hii kitu , kwa ajili ya kubana matumizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom