Jinsi ya kupika makande

Kuna kande aina 2 ya mahindi na maharage mabichi au ya mahindi makavu(yaliyokobolewa) na maharage makavu.Mahindi na maharage kwa kesi zote 2 huwekewa jikoni wakati mmoja.
Kuboresha weka nazi,karoti,nyanya, vitungui,h oho,njegere kidogo,mengine wataongezea.
 
Waungwana,

Nina hamu na makande na ninataka kuyapika.

Je niweke vitu gani ili msosi unoge? Pia, maharagwe na mahindi nayaweka pamoja au nasubirisha kuweka maharagwe?

Whaaat, makande yanaliwa na binadamu? Jamani makande si ni chakula cha ng'ombe na punda?
 
Waungwana,

Nina hamu na makande na ninataka kuyapika.

Je niweke vitu gani ili msosi unoge? Pia, maharagwe na mahindi nayaweka pamoja au nasubirisha kuweka maharagwe?
Karanga zilizosagwa au Nazi
 
Whaaat, makande yanaliwa na binadamu? Jamani makande si ni chakula cha ng'ombe na punda?
[emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji15] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
 
Hayo yatakuwa makande new model (makande mwendokasi)[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
ni matamu balaaa............makande na samaki......na jinsi kande zinavyoshibisha acha tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…