Jinsi ya kupika mayai aina tofauti

Jinsi ya kupika mayai aina tofauti

mimi49 mimi langu yai namba moja huwa naweka vitunguu tango na nyanya....nakaanga vyema then naiweka katikati ya mkate then nanywa na chai usiku wangu huwa naupitisha hvyo......

ngoja nijifunze na hayo mengine......
umenitoa udenda
 
Last edited by a moderator:
Yes switluv,nyama ya kusaga inaitwa pia nyama ya kima 🙂 and i dont know why to be precise lol

Kweli usilolijua ni sawa na usiku wa giza

Shule mtu hujifunzi kila kitu...inabidi ni-google,lol
Thanks
 
Umenizidishia tu njaa niliyonayo..........kwa maana tangu asubuhi sijala chochote..........
 
I love the sunny side of life. Yeah... Sunny side up!! Tena rojo flan hivi. Wengine wanaita Macho ya ng'ombe.
 
Binafsi natumia mayai ya kienyeji tu. For some reason, mayai ya kisasa sina imani nayo. Yanaonekana fake.
 
Yes macho ya ngombe ni matam sana haswa ukipata kitu kama mkate au toast uchovye kwenye ule urojo wake yummyyy….

Mara zote nkiyala na mkate nafanya hvyo, yaaaaniiii......

Sikua najua kuyafunika inafaa. Shukrani kwa somo. Nitajaribu manake likiwa kati ya rojo na gumu, ladha yake hua ni nzuri sana pia. Na virutubisho bado vinakuepo.
 

Waaala usiumie kichwa na mie siku nikilala kwako we piga jicho la ng'ombe la kugeuza aaaaaaanh na toasts!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
 
Back
Top Bottom