Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

Shukrani sana kwa funzo la pishi zuri mwaya Aaliyah..!!😍😍
 
Nikajua labda wapishi wazoefu mnazandani ndani kumbe na wewe hola? 😂😂😂
😂😂 Labda Kina shishi Aje aondoe huu utata hii ni shutuma nzito mno😀
Nimelia sana
 
😀😀😀Basi nafikiri utakuwa unasukuma sana kati hata ukandie mafuta Lita saba ukisukumansana kati Inakuwa kaukau

Kusukuma kati nilishaambiwa na nikaiacha
Basi tu chapati ziliamua kunikataa na nimekubali
 
Natumaini wazima
Leo nawaletea recipe ya kupika samaki wa Nazi chukuchuku,wengine wanasema mchuzi ambao hauna mambo mengi
MAHITAJI
Samaki wabichi unaweza tumia pia wakavu
Nazi,karoti,hoho,kitunguu maji, nyanya,chumvi na ndimu ukipenda
Andaa viungo vyako katakata size utayopenda
Unaweza kuongezea biringanya,bamia au nyanya chungu kama ukipenda

Weka kwenye sufuria samaki,nyanya,karoti,kitunguu maji na chumvi Kisha weka maji kidogo Ili kuivisha viungo pamoja na samaki zingatia kipimo Cha maji

Ukiona vimeiva weka Nazi kwenye mchuzi wako acha ichemke
Hakikisha ugeuzi Wala kukoroga koroga sana unaweza ukawa unatumia njia ya kutikisa tu sufuria kidogo Ili mchanganyiko ukae vizuri ikiiva ipua tayar Kwa kula
Unaweza kula na wali au ugali

Mimi sijatumia nyanya,nimetumia karot wewe unaweza amua kama unatumia bas zisiwe nyingi
Nazi sio lazima ya kukuna kama yangu mnaweza kutumia ya pakti 😍
View attachment 2971868
View attachment 2971870
View attachment 2971872View attachment 2971874View attachment 2971876
Nawatakia sikunjema
Napika Kesho hii, ntakuletea mrejesho 😜😜😋
 
Ukweli wa virutubisho ni upi kutoka kwenye hiko chakula...!?
 
Sijaelewa, na nazi Halafu Tena chukuchuku?

Maana ya chukuchuku unaielewa Mleta mada?
 
Unafikiri hata hamu ya kula ipo basi, akili inawaza tu saa ngapi tutatekwa
 
Sijaelewa, na nazi Halafu Tena chukuchuku?

Maana ya chukuchuku unaielewa Mleta mada?
Sijajua mkuu mm navoelewa mchuzi chukuchuku ni mchuzi ambao haujakaangwa viungo like vitunguu na nyanya na vingine yaani mafuta hayajatumika inaweza kuwa umetumia Nazi au hujatumia wew unaelewaje?
 
Back
Top Bottom