Jinsi ya Kupika mchuzi wa samaki na Nazi (chukuchuku)

Kaanga hao samaki kwanza ndio uwatie kwenye nazi, sio hivyo wabichi
 
Sijajua mkuu mm navoelewa mchuzi chukuchuku ni mchuzi ambao haujakaangwa viungo like vitunguu na nyanya na vingine yaani mafuta hayajatumika inaweza kuwa umetumia Nazi au hujatumia wew unaelewaje?

Chukuchuku maana yake haijaungwa kabisa isipokuwa ndimu au kimao tu.
Nyanya , bamia, ngogwe , kitunguu waweza weka lakini sio mafuta wala nazi.
 
Chukuchuku maana yake haijaungwa kabisa isipokuwa ndimu au kimao tu.
Nyanya , bamia, ngogwe , kitunguu waweza weka lakini sio mafuta wala nazi.
Sawa hakuna shida inaweza kuwa hivo pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…