Mrs Kharusy
JF-Expert Member
- Sep 23, 2013
- 1,244
- 671
Wapendwa za wk end? I hope all is well.
Mahitaji
Namna ya kuandaa
Changanya vitu vyote pamoja kwenye bakuli safi, baada ya kuchanganyika vizuri mimina kwenye baking trey yako.
Unanyunyiza haba soda juu unatia kwenye oven unachoma kama keki.
Ikiiva toa wacha ipowe tayari kwa kuliwa.
Mahitaji
- Maziwa ya unga (vijiko 6 vya chai)
- Unga (vijiko 4 vya chakula)
- Mayai 4
- Mafuta Robo kikombe
- Sukari kikombe kimoja (unaweza kupunguza kidogo km si mpenzi wa sukari)
- Vanilla 1tsp .
- Kijiko kimoja cha chai -baking powder
- Haba soda