Bavaria
JF-Expert Member
- Jun 14, 2011
- 53,092
- 53,496
Kata tu mkuu ujitafunie...lol
Nifanyie mpango niuonje mkuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kata tu mkuu ujitafunie...lol
Thanks Mrs Kharusy huu inanihusu weekend ijayo
Wapendwa za wk end? I hope all is well.
Mahitaji
- Maziwa ya unga (vijiko 6 vya chai)
- Unga (vijiko 4 vya chakula)
- Mayai 4
- Mafuta Robo kikombe
- Sukari kikombe kimoja (unaweza kupunguza kidogo km si mpenzi wa sukari)
- Vanilla 1tsp .
- Kijiko kimoja cha chai -baking powder
- Haba soda
Namna ya kuandaa
Changanya vitu vyote pamoja kwenye bakuli safi, baada ya kuchanganyika vizuri mimina kwenye baking trey yako.
Unanyunyiza haba soda juu unatia kwenye oven unachoma kama keki.
Ikiiva toa wacha ipowe tayari kwa kuliwa.
Mrs Kharusy nimeipenda hiyo formula yake naona anaweza kula yeyote
maji kiasi gani my dear maana hujaliambatanisha hilo na haba soda ni nini my ndugu...
Asante, pishi nmelipenda , linavutia
Mkuu huu kwetu tunaita mzinga wa nyuki kuna na lengine nimesahau..tunaweka na cheese ndani yake halafu tunamwagia maziwa ya sona au shira
Wow ! mashallah kume ndo jina lake ? sa hauo nyuki ni wakukausha au livu ? tujuze wapi yapatikana hiyo !Mkuu huu kwetu tunaita mzinga wa nyuki kuna na lengine nimesahau..tunaweka na cheese ndani yake halafu tunamwagia maziwa ya sona au shira
Wow ! mashallah kume ndo jina lake ? sa hauo nyuki ni wakukausha au livu ? tujuze wapi yapatikana hiyo !
Yaani inauzwa wapi??... sijui
Mwambie Mrs akupikie, akande unga kwa maziwa au nazi na vikorombwezo vyote vya kuufanya unga kuwa mlaini..aweke na sukari + chumvi kidogo na hamira
Auwache kidogo then akate vidonge vidogo vidooogo kati aweke cheese kipande kidogo apange kwenye trey km picha ulioweka. Ikiumuka achome ikiiva aache ipoe wakat wa kula amwagie shira au asali au maziwa ya sukar mazito.
Cc farkhina kwa vipimo zaidi 😉