Jinsi ya kupika mkate wa haba soda

Mrs Kharusy

JF-Expert Member
Joined
Sep 23, 2013
Posts
1,244
Reaction score
671
Wapendwa za wk end? I hope all is well.

Mahitaji

  • Maziwa ya unga (vijiko 6 vya chai)
  • Unga (vijiko 4 vya chakula)
  • Mayai 4
  • Mafuta Robo kikombe
  • Sukari kikombe kimoja (unaweza kupunguza kidogo km si mpenzi wa sukari)
  • Vanilla 1tsp .

  • Kijiko kimoja cha chai -baking powder
  • Haba soda

Namna ya kuandaa


Changanya vitu vyote pamoja kwenye bakuli safi, baada ya kuchanganyika vizuri mimina kwenye baking trey yako.

Unanyunyiza haba soda juu unatia kwenye oven unachoma kama keki.

Ikiiva toa wacha ipowe tayari kwa kuliwa.
 

Attachments

  • 1408888451830.jpg
    36.2 KB · Views: 439
  • 1408888509884.jpg
    55.6 KB · Views: 429
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…