Jinsi ya kupika mkate wa haba soda


BarakaAllah-fiki waa yuSaleem yedish....!
 
maji kiasi gani my dear maana hujaliambatanisha hilo na haba soda ni nini my ndugu...
 
maji kiasi gani my dear maana hujaliambatanisha hilo na haba soda ni nini my ndugu...

Hatuweki maji besti. Fata vipimo tu!
Haba soda ni black seeds hizo nilizonyunyiza juu hapo kabla ya kuchoma.
Na haba soda ni nzuri kwa afya pia namuomba kaka Mzizi MKavu atuwekee link ya faida za haba soda.
 

Attachments

  • 1408989520510.jpg
    7.5 KB · Views: 218
Last edited by a moderator:
Mkuu huu kwetu tunaita mzinga wa nyuki kuna na lengine nimesahau..tunaweka na cheese ndani yake halafu tunamwagia maziwa ya sona au shira
Wow ! mashallah kume ndo jina lake ? sa hauo nyuki ni wakukausha au livu ? tujuze wapi yapatikana hiyo !
 
Wow ! mashallah kume ndo jina lake ? sa hauo nyuki ni wakukausha au livu ? tujuze wapi yapatikana hiyo !

Yaani inauzwa wapi??... sijui
Mwambie Mrs akupikie, akande unga kwa maziwa au nazi na vikorombwezo vyote vya kuufanya unga kuwa mlaini..aweke na sukari + chumvi kidogo na hamira
Auwache kidogo then akate vidonge vidogo vidooogo kati aweke cheese kipande kidogo apange kwenye trey km picha ulioweka. Ikiumuka achome ikiiva aache ipoe wakat wa kula amwagie shira au asali au maziwa ya sukar mazito.

Cc farkhina kwa vipimo zaidi 😉
 
Last edited by a moderator:

inshaAllah akiipatia tu ntaipiga picha niwatumie humu, I hope !
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…