Chukua unga wa ngano andaa kama unataka kupika chapati, chukua nyama ya kusaga weka katikati ya unga uliousukuma kama chapati kisha weka yai bila kulikologa halafu kunja mkunjo wa bahasha weka kwenye flampeni ugeuze hadi utakapoiva
You mean hii:-Salaaam wakuu
Kwa anaejuwa kupika hzo Bites naomba anielekeze plz
kwahiyo kila mkunjo unaweka yai moja zimaChukua unga wa ngano andaa kama unataka kupika chapati,chukua nyama ya kusaga weka katikati ya iyo km cpati weka yai bila kulikologa afu kunja mkunjo wa bahasha weka kwenye flampeni ugeuze hadi iive
Ndio yaani ukishaweka nyama ya kusaga unavunja yai unaliweka katikati unakunja,ila unaweza weka hata mayai mawili nakuendelea kutegemea na ukbwa wa ile chapati yakokwahiyo kila mkunjo unaweka yai moja zima