Jinsi ya kupika mutabbak

Jinsi ya kupika mutabbak

tandoor

Senior Member
Joined
Jun 10, 2016
Posts
170
Reaction score
128
Salaaam wakuu
Kwa anaejuwa kupika hzo Bites naomba anielekeze plz

=====================
==================================

Chukua unga wa ngano andaa kama unataka kupika chapati, chukua nyama ya kusaga weka katikati ya unga uliousukuma kama chapati kisha weka yai bila kulikologa halafu kunja mkunjo wa bahasha weka kwenye flampeni ugeuze hadi utakapoiva
 
Salaaam wakuu
Kwa anaejuwa kupika hzo Bites naomba anielekeze plz
You mean hii:-

upload_2016-6-30_16-50-11.jpeg
upload_2016-6-30_16-50-33.jpeg
 
Chukua unga wa ngano andaa kama unataka kupika chapati,chukua nyama ya kusaga weka katikati ya iyo km cpati weka yai bila kulikologa afu kunja mkunjo wa bahasha weka kwenye flampeni ugeuze hadi iive
 
Chukua unga wa ngano andaa kama unataka kupika chapati,chukua nyama ya kusaga weka katikati ya iyo km cpati weka yai bila kulikologa afu kunja mkunjo wa bahasha weka kwenye flampeni ugeuze hadi iive
kwahiyo kila mkunjo unaweka yai moja zima
 
Back
Top Bottom