Jinsi ya kupika ndizi ya mchuzi!!

Jinsi ya kupika ndizi ya mchuzi!!

Kwanza mahitaji

1. Ndizi
Iliyomenywa tayari au ambayo haijamenywa

Hatua
Anza kwa kuisafisha ndizi yako, isafishe kwa mikono yako taratibu. Usikubali kuiweka kwenye sufuria yako ndizi ambayo hujaisafisha coz MASOKO sio masafi siku hizi.
Endelea kuisafisha taratibu kisha isogeze karibu na sufuria lako kuona kama itatosha kuwekwa humo na mchuzi wako.
Ziandae nyanya mbili kwa ajili ya mchuzi wako

INAENDELEA
Tangazo nimelielewa sana, toa location ya mgahawa tuje kula sasa.
 
Back
Top Bottom