Jinsi ya kupika pilau na kuku wa kienyeji

Attachments

  • D9CAA26E-A318-4F46-8FF0-09D70E8A67EC.jpeg
    D9CAA26E-A318-4F46-8FF0-09D70E8A67EC.jpeg
    2.5 MB · Views: 3
Sasa hapo uongezi maji uo mchuzi wa kuku utaivisha kweli Michele na viazi
 
Kuna siku nimekaa home wife hayupo nikawa bored niko na kijana wangu akaniambia baba Leo tupike pilau
Nikajisogeza jikoni kilichotokea asee niliunguza mavitunguu na wali ukawa mweusi na rojo kama ugali wa kimbuli
Tuliishia tu kula nyama tukachukua na mkate na juice tukalala zetu
 
😅😅😅😅 tatizo wanaume mnakuaga na mambo Mengi mkiwa mnafanya kazi.
 
Kuna siku nimekaa home wife hayupo nikawa bored niko na kijana wangu akaniambia baba Leo tupike pilau
Nikajisogeza jikoni kilichotokea asee niliunguza mavitunguu na wali ukawa mweusi na rojo kama ugali wa kimbuli
Tuliishia tu kula nyama tukachukua na mkate na juice tukalala zetu
Lakini Bora ulijitahidi 👏🏻👏🏻
 
Back
Top Bottom